Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Hongera sana mkuu kwa chaguo lako,ufugaji wa mbuzi hauna changamoto ukilinganisha na ufugaji mwengine.
Changamoto ni chache kama ukiwa na mtaalamu wa mifuga,ila kuna jambo la msingi ni malisho na maji safi wafugaji wengi wanalisha kwa mazoea,jitahidi kupanda majani na kuhifadhi aina ya Napier yana virutubisho vingi...ukiweza ingia YouTube kuna mfugaji SHAMBANIFARM yupo Kibindu na mwengine HAMIISI SEMANDA utajifunza mengi sana.
 
Mbuzi ni wasumbufu na ukiwa na roho ndogo unaweza kuua mbuzi kila sku, kama ww ni mvumilivu bas kipimo sahihi ni kwenye kuwalea mbuzi , kama unataka kufuga wengi Sana wanahitaj eneo la kutosha...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli unajua mbuzi
 
haswa mabeberu hakinusa pupu ambazo zipo heat yani utadhani ametiwa roba ya mbao..kelele zake,,
 
Naweza kupata wapi mbuzi wa maziwa Niko ukerewe Mwanza
 
Wadau hivi huu ugonjwa WA mapafu wa mbuzi chanjo yake inaitwaje? natanguliza shukurani ndugu zangu kwenu nyote, kwa anaejua naomba anijulishe
 
Tembelea bwana mifugo ktk halmashauri uliyopo. Yeye atakupeleka kujionea wafugaji ujifunze kwa vitendo.
 
Ninafikiria kufuga mbuzi kiasi wa kisasa nipate maziwa, mbolea na kula. Kwa wanaowafahamu vizuri naomba kupata muongozo na changamoto ili nijiandae vyema.
 
Nakuomba unitafute nikujumlishe kwenye group la wafugaji Mbuzi wa Maziwa.
 
Nakuomba unitafute nikujumlishe kwenye group la wafugaji Mbuzi wa Maziwa.
Na mimi naomba uniweke kwenye hilo group la wafugaji mbuzi. Mimi nafuga mbuzi wa maziwa aina ya Saanen
 
Evarm,

Hapo chini ni mchango wa mwanachama mwenzetu MUBENDE ameacha namba za Mwenyekiti wa Tanzania Goat Farmers Association [ TAGOFA ].

=========

Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifu nyote MAVUNO FARM wamesha leta mbegu za Mbuzi Red kalahare toka south afrika ukihitaji karibu sana 0713 544411 Mwenyekiti TAGOFA. 0713 282 715 MD MAVUNO FARM.
Karibuni sana .
 
Habari za leo wafugaji wenzangu,

Nimeona ni vyema kuandika maoni haya kwa ajili ya ufugaji wa mbuzi wa kisasa kwa mfumo wa kisasa. Maana ufugaji wa mbuzi ni kama hauna taarifa nyingi na kunakuwa na uzito mkubwa kupata ushauri.

Ili tushauriane kuanzia mbegu bora ya mbuzi, makazi bora na chakula bora cha kuwapa mbuzi wetu. Usafi na upatikanaji wa dawa zikiwemo chanjo. Mbegu za majani na manufaa yake. Dalili za magonjwa na tiba zake.
Kwa ujumla, changamoto na manufaa ya ufugaji wa mbuzi.

Karibuni sana.


 
Asante sana Mkuu
Nilikuwa nasubiri kwa hamu sana maana nataka kuingiza mpaka 30m kwa mbuzi na kuku
Ila nilikuwa sijui pa kuwapata zaidi ya UG na Kenya

Please naomba kujua bei zake na kama boer wapo pia
Kalahari ni wazuri mno ila nataka kuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…