Mwongozo wa Uthamini wa Fidia

Mwongozo wa Uthamini wa Fidia

kassamali

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2010
Posts
214
Reaction score
40
Karibuni tushare issues mbalimbali zinazohusiana na fidia hasa wakati Serikali inahitaji eneo lako kwa ajili ya manufaa ya Umma

Unaweza kupakua hicho kitabu



YALIYOMO




Sehemu ya Kwanza: Utangulizi na Dhana ya Fidia

1.0 Utangulizi

2.0 Dhana ya Fidia


Sehemu ya Pili: Misingi na Kanuni za Uthamini wa Fidia

3.0 Misingi ya Uthamini wa Fidia

4.0 Kanuni za Ukadiriaji Fidia


Sehemu ya Tatu: Taratibu za Uthamini wa Fidia

5.0 Utaratibu za Maandalizi ya Awali.

6.0 Utaratibu wa Uhamasishaji,

7.0 Utaratibu wa Ukaguzi wa Mali Uwandani

8.0 Utaratibu wa Ukokotoaji Thamani ya Fidia

9.0 Utaratibu wa Uandaaji Kitabu cha Majedwali ya Fidia


Sehemu ya Nne: Taratibu za Malipo na Ushughulikiaji Malalamiko ya Fidia.

10.0 Taratbu za Malipo ya Fidia

11.0 Thamini zenye Malipo ya Ziada

12.0 Vyanzo vya Malalamiko na Ushughulikiaji


Sehemu ya Tano: Mambo Mengine ya Kuzingatia

13.0 Mambo Mengine ya Kuzingatia katika Uthamini wa Fidia

14.0 Wajibu wa Kila Mdau wa Zoezi la Uthamini wa Fidia

15.0 Hitimisho


VIELELEZO

1) Kielelezo Na. 1: - Nukuu za Vifungu vya Sheria kuhusu Fidia.

2) Kielelezo Na. 2: - Nukuu za Vifungu vya Kanuni kuhusu Fidia

3) Kielelezo Na 3: - Fomu ya Uelewa Viwango vya Thamani

4) Kielelezo Na. 4 - Fomu ya Ukaguzi (VAL FORM 1)

5) Kielelezo Na 5: - Fomu ya Ukokotoaji Thamani (VAL. FORM 2)

6) Kielelezo Na. 6: - Wajibu wa kila Mdau Kwenye Uthamini wa Fidia

7) Kielelezo Na. 7 - Asilimia (%) za Ujenzi (Construction Progress %)


Anthony Kassamali
Mshauri wa wa masuala ya sheria
 

Attachments

Back
Top Bottom