MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

Ninetaka kuendeleza kwenye uzi nilioanzisha nikashindwa nafaje ili niendeleze pale pale
 
Ahsanteni kwa kutoa muongozo wa kutoa Matangazo ya Biashara.

Mimi nikiona Tangazo halijajitosheleza huwa nalikosoa hapo hapo, hasa mtu hataji sehemu alipo, inakera sana.
Mimi pia naonaga sawa na demu kavaa dera hana msambwanda na leo nimpasha jamaa na nyumba yake ya Kihonda naona jamiiforums wameliona hilo.
 
T
1.Tangazo moja linaweza kuchukua mudagani kurudiwa hasa kama halikusomwa?
2.Nini maana ya PM (yaani waskufuate PM)
 
1. Tangazo moja linaweza kuchukua mudagani kurudiwa hasa kama halikusomwa?
2. Nini maana ya PM (yaani waskufuate PM)
Sijakikuka kifungu chochote cha sheria katika tangazo langu bado nauliza ni kwanini limetolewa bila sababu ya msingi
 
Nimepost tangazo leo halija tokea kwenye ukurasa wa Marangazo madogo madogo..

Na halija kiuka sheria yoyote.. Kuna nini??
 
Utaratibu gani nitumie ili tangazo langu lisifutwe?
 
Vizuri. Mmekuwa mkiruhusu matangazo yenye vigezo vya chini. Napendekeza wakati wa kujaza tangazo muweke sehemu za kujaza ili mtu asipojaza maeneo hayo isi postiwe. Nyie mnabaki na ku approve au kuruzuia. Nyie wa IT mtaelewa zaidi
 
Naweza kuweka tangazo la Haina gani !!?
Na ni matangazo ya Haina gani huwa yanafutwa mara kwa mara .. na sababu ni Nini .. please mwenye uelewa wa hii jamii forum vzr naomba anisaidie
 
Nimeweka tangazo langu na mkalifuta. Tena nimeweka Hadi picha ila mmenionea, sijui kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…