MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

JamiiForums

Naomba kufahamu kwanini tangazo langu la "TAIRI MPYA ADIMU ZINAUZWA" limefutwa bila sababu ya msingi zaidi ya kusahau kuandika mahali bidhaa inapatikana? Jee, mnatumia mabavu zaidi ya fairness? Kweli kulikuwa na sababu ya kufuta tangazo zima badala ya Kuniikumbusha kurekebisha tangazo kwa kuweka wazi mahali bidhaa inapatikana? Hata wasomaji wangeweza kunikumbusha niseme wapi bidhaa ilipo. Hatua ya kufuta tangazo zima kwa jambo dogo kama hilo inaonyesha muhusika ana lake jambo. Ujinga mtupu!!
 
Mnaolalamika matangazo yenu kufutwa pelekeni kwenye magazeti au runinga pamoja na television matangazo yenu yatapata airtime.

Muache kusumbua mods humu, wanayo mengi ya kufanya [emoji3061]
 
Mnaolalamika matangazo yenu kufutwa pelekeni kwenye magazeti au runinga pamoja na television matangazo yenu yatapata airtime.

Muache kusumbua mods humu, wanayo mengi ya kufanya [emoji3061]
Acha ukuda wewe! Kwanini tangazo la kuuza Tairi za Gari lifutwe kwa sababu za kipumbavu?

Kuna tatizo mahali, na linaanzia na Moderator wa hili jukwaa. Hafai!

JF muwe mnaaajiri watu ambao ni rational, reasonable and fair in their day-to-day, on the job decision making kwa nafasi za Moderators.

Moderator anajiona Mbabe na Mungu Mtu sababu tu ana uwezo wa kufuta bandiko lolote akiamua bila ya sababu za msingi?

Hapa chini ni matangazo machache ambayo wauzaji hawakuweka wazi mahali huduma/bidhaa zinapatikana, lakini matangazo hayakufutwa.






Kama ni Vigezo na Masharti kuzingatiwa, basi vi-apply kwa wote across the board. Vinginevyo Moderator atakuwa hatimizi wajibu wake ipasavyo, na baadhi tutachukulia kufutwa holela kwa matangazo kama ni uonevu na ubabe tu.
 

Attachments

  • Untitled.jpg
    19.4 KB · Views: 87
Matangazo ambayo huondolewa ni yale yanayokiuka vigezo tajwa hapo juu au yanavunja JamiiForums Rules..

Unaweza kutupatia mfano wa tangazo lililoondolewa ambalo unadhani limeondolewa kimakosa?!

Karibu..
mbona matangazo mengi hayakidhi vigezo na mnayaacha? mfano tangazo halina bei ya bidhaa/kitu, mengine kukosa picha n.k.
 
Mbna tangazo langu limezuiliwa
Kama nimekosea mnisamehe
Jaman ndio mda WA biashara huu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nauza dagaa za kukaanga kutoka ziwa Victoria dagaa wana viungo na watamu bei debe 60000 ndoo ndogo 35000 mawasiliano piga 0755429815
 
Mr Quality Outfits|Perfumes|Sandals|Heels|Raba|Handbags
Price: 55,000
[emoji338]0758407189
Tunafanya fast delivery kwa wateja wa Dar-es-salaam.
Mkoani tunatuma.
[emoji625]Tunapatikana Kariakoo, mtaa wa Mafia na Jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…