Pako safi kaka, ni branch ya saut kilimanjaro (ingawa muda wowote chenyewe pamoja na ruco vitajitegemea rasmi), iko km kadhaa baada ya kcmc, kutoka chuo to town ni sh 400 tu, mazingira mazuri, ila changamoto ni accomodation ukiweza wahi ufanye mchakato wa hostel ama raa kuna nyumba nyingi mtaani za kupanga. Ila ujiandae kwa kitabu, maana mkimbizo wake si wa kitoto. Karibu sana