My 2019 resolution is to stop taking sugar in tea and coffee

Happy New Year 2 u 2
 
Sisi wenzako tuliacha toka mwaka jana. Vyote ubwabwa, dona na chapi tunakutana navyo kwenye shughuli za misiba tu kwa sababu huku kwetu kwa mnyaamani sukali huchanganyiwa jikoni.
 
πŸ™πŸΎ
 
I think i have a misconception about honey & sugar , i may need to dig deeper about these two.

Anyone with detailed knowledge about these two, kindly share as much as you care
 
HONGERA Ni rahisi inawezekana Nina miaka mi 2 nakunywa chai ya kijani niliyoandaa mwenyewe bila sukari Ni nzuri Sana.
Sky KARIBU ULIMWENGU WA CHAI KIJANI YA ASILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…