Uache bangi halafu utumie nini ? Dah bangi sijawahi kufikiria kuiacha
Hapa kwenye cake na biscuit rafiki, kule kibaruani hizi ndio asante,The American Heart Association (AHA) suggest that women consume no more than 100 calories a day from sugar (approximately 6 teaspoons) and men have no more than 150 calories per day (9 teaspoons).
It is important to note these amounts take into account sugars already added to processed and pre-packaged foods, as well as all types of sugars, including honey and syrups.
Mie niko vizuri kwa kikombe changu kimoja cha chai kwa siku na vijiko viwili na nusu. Ni mara moja moja sana usiku hunywa chai, kahawa au milo. Mara nyingi hupendelea maziwa bila sukari. Vitu vyenye sukari kama cake n.k. nakula pia lakini mara moja moja sana.
AminMy 2019 resolution is to Love her and understand her better..
Hapa kwenye cake na biscuit rafiki, kule kibaruani hizi ndio asante,
Ninaweza kutoka nyumbani nimepata breakfast mayai mawili ya kuchemsha na green tea bila sukari. Saa nne tea break staff room imechafuka na home made cakes π° ooh
Unaweza ukawa unasimamia kucha fresh na watu wakakupigia mai waifu wako kama kawaida.Niliacha kitambo matumizi ya sukari kwa minaajil ya kuhifadhi nguvu kidogo nilizobaki nazo.... ili wasipate sbb ya kunisaidia kwa wife
Swadakta.... ni bora wanipigie kwa ushawishi wake mwenyewe na sio kwa mimi kushindwa kumkweaUnaweza ukawa unasimamia kucha fresh na watu wakakupigia mai waifu wako kama kawaida.
Umeona eeee yaaan ata umbea wa kinge haunogagiPunguzeni ung'eng'e basi twendeni na kiswazi daah
sure kabisa yaaniUmeona eeee yaaan ata umbea wa kinge haunogagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi we mchaga nani kakufundisha uchochezi
word!Rich people resolutions! My resolution is to make sure I can afford three meals a day.
Sasa kama ukishindwa kumkwea utakaa nae wa nini? Dini inaruhusu kuacha kama "Abdallah kichwa wazi" akishindwa kupiga mzigo.Swadakta.... ni bora wanipigie kwa ushawishi wake mwenyewe na sio kwa mimi kushindwa kumkwea
Kila kitu kwa kiasi. Mwili unahitaji sukari pia. Na ukitumia kwa kiasi hakuna madhara. Na epuka kunywa soda sana.Honey is expensive too lengo hapa ni kuwa cost conscious while remain healthy
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguzeni ung'eng'e basi twendeni na kiswazi daah
Tumia asaliMimi Nitatumia mchai chai badala ya majani ya chai na sukari kidogo tu