Hi wanajamvi
Mimi ni mjasiriamali mdogo, nimenunua suzuki carry zangu 3 toka japani sasa tokea zianze kazi zina kama wiki 3. Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunishauri ni jinsi gani ninaweza kutengeneza pesa nzuri mbali na hii 20,000 per piece per day ambayo ninaipata toka kwa madereva wangu ambao ninawaona wananionyesha ni ngumu kuipata 20,000 kwa siku. Please advise me how best I can use them to make good money either per day or dar month.
asanteni
DaPilly