Hi wanajamvi
Mimi ni mjasiriamali mdogo, nimenunua suzuki carry zangu 3 toka japani sasa tokea zianze kazi zina kama wiki 3. Ninaomba kama kuna mtu anaweza kunishauri ni jinsi gani ninaweza kutengeneza pesa nzuri mbali na hii 20,000 per piece per day ambayo ninaipata toka kwa madereva wangu ambao ninawaona wananionyesha ni ngumu kuipata 20,000 kwa siku. Please advise me how best I can use them to make good money either per day or dar month.
asanteni
DaPilly

Nipe namba yako nitakuunganishia kazi ya kudumu kupeleka vyombo vya muziki na kurudisha kila wanapopiga
asanteni
dah 20000? Mbona ni 30000 per day inategemea na eneo unalopaki kwani wewe uko wapi? Tafuta vijiwe vyenye kazi baana hizo gari zinalipa sana
Ndugu yangu zangu zinapaki pale mwenge lakini madereva wana taabu, mmoja nimeshampokonya sasa wiki ya nne gari limepaki nyumbani.