Miaka fulani nyuma..nakumbuka kijana tulikuwa tukikutana katika sana Jukwaa la Biashara..ulionyesha mtizamo chanya sana kuhusu sekta hiyo.For anyone who cares enough and also those who don’t, i am celebrating her, you can join me...
"Happy birthday to my love, my best friend, my agony aunt, my complaint hotline, my emergency contact and my soul mate. [emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji8][emoji8][emoji320][emoji320][emoji322][emoji323]"
I feel lucky to wish Happy birthday to you, the most amazing woman in the world, love you bbade
biashara bila furaha na amani ni kazi bure chief,Miaka fulani nyuma..nakumbuka kijana tulikuwa tukikutana katika sana Jukwaa la Biashara..ulionyesha mtizamo chanya sana kuhusu sekta hiyo.
Leo sababu ni mida sijatembelea humu au labda nimekufananisha nashindwa kuelewa umeanza lini kutafuna vitunguu swaumu vibichi?
Hahahahaha sawa , kwa hiyo ukiipiga anafika kwa wakati? Kama anachelewa weka namba hapa watu wamkanye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu na emergency yake cute b [emoji6][emoji6]
Hahahahaha sawa , kwa hiyo ukiipiga anafika kwa wakati? Kama anachelewa weka namba hapa watu wamkanye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hahahahaha sawa , kwa hiyo ukiipiga anafika kwa wakati? Kama anachelewa weka namba hapa watu wamkanye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka fulani nyuma..nakumbuka kijana tulikuwa tukikutana katika sana Jukwaa la Biashara..ulionyesha mtizamo chanya sana kuhusu sekta hiyo.
Leo sababu ni mida sijatembelea humu au labda nimekufananisha nashindwa kuelewa umeanza lini kutafuna vitunguu swaumu vibichi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu muruabiashara bila furaha na amani ni kazi bure chief,
kuonyesha kuwapenda na kuwajali wapendwa wetu sio mtizamo chanya?
vitunguu swaumu siwezi kutafuna maana sipendi harufu yake.
karibu tena chief The list, tupo pamoja.