My bbade is plus one today and I just want her to know she is cherished.

I'm extremely thankful for always making life easier for me....I really appreciate everything you do to make me smile. You are the most amazing person in my Life and I adore and value so much....I [emoji173] U [emoji654][emoji286] & [emoji653]
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Watu tuko foleni hapa, wewe turuhusu tu uone tutakavyogonganisha threads.

Hongera kwa ushindi jana.
Wapi mbona foleni sioni. Hadi najiuliza Mimi kyutiibiii mbona nyota yangu imefubaa hivyo. Yaani mimi tuu jamani.[emoji23]

Asante sana tulipiga watu mijeledi ya kutosha. Halafu siku hizi tushazoe maushindi.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Haya bana, mimi naangalia tu. Huu mwaka nina uhakika nitaona thread yako ya Birthday. Tuombeane uzima tu.

Aisee mnatisha, mpaka nawaza points tatu mtazinipa kweli hiyo Feb.
 
Haya bana, mimi naangalia tu. Huu mwaka nina uhakika nitaona thread yako ya Birthday. Tuombeane uzima tu.

Aisee mnatisha, mpaka nawaza points tatu mtazinipa kweli hiyo Feb.
Thread na zawadi ya gari hahahha. Ngoja niseme Amen. Maana pengine wewe ndiyo utanitunza gari.

Weee hampati chochote. Hatuchanui miguu tena.[emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…