My beautiful girlfriend is cannabis user


Mkuu umenichekesha "ganja na minyukano" hahahaa. I hope you greatly enjoyed her company. Where is she now? You guys still together au ndo vile mmeshasahauliana?
 
Mkuu umenichekesha "ganja na minyukano" hahahaa. I hope you greatly enjoyed her company. Where is she now? You guys still together au ndo vile mmeshasahauliana?

It was a good company back there na tulikuwa kila siku tunagombana na kupatana.Now she is married na mie pia nmeoa but tunawasiliana not much na yeye ndio alisababisha niwe fans Wa Bob Marley.

Bado tunakutana Mara ya mwisho kukutana nae ilikuwa 2013 kwenye Halloween party pale Vellisa Jamaika Pub mikocheni tulijikumbushia old times in ghetto kwa kusmoke Herb ambayo niliacha since high school.
 
he he umenikumbusha mbali....nilivyoanzaga kazi arusha nilipata demu Moshi,kazuri na kasomi but haipiti siku bila kuvuta bangi,kunywa nyagi na kutafuna gomba.yaani the sex life was awesome,mko high balaa full kupiga makelele mpaka majirani wanagonga ukuta kwa hasira.How I wish hizo siku zijirudie
 
Si mbaya ni starehe kama nyingine tu worry not

Glad I hear that from you. Vile watu wanadhani "cannabis" ni mbaya na haifai kitu.

Hii kitu imetumika kwenye jamii miaka nenda rudi. Kwa ajili ya tiba, mambo ya kiroho, kusaidia watu katika uandishi wa vitabu au nyimbo za muziki tunayofurahia. Wasio tumia "khush" hudhani mtumiaji hawazi kutenda kwa akili mawazo yake yanakuwa katika hali tunaita "mind impairment".

Pengine hii ni kweli, lakini vipi tunasema kwa wale wanaoweza ku-control mind zao baada ya ku-smoke herb? I know dozen of friends they smoke herb and doing great in their carrier. I have asked them they say honestly ganja is fine with them.
 

Every thing ukitumia vibaya ina madhara..ganja ipo pouwa tu na wengu wanavuta emotionally nikiwa na maana mtu anavuta akiwa anawaza negative outcome..
 
Every thing ukitumia vibaya ina madhara..ganja ipo pouwa tu na wengu wanavuta emotionally nikiwa na maana mtu anavuta akiwa anawaza negative outcome..

Upo correct. If someone smokes weed while his state of emotion is negative you have to worry about him. It is dangerous because this person is damaging mind cells. Unakuta mtu ana stress badala ya kwenda kwa therapist akapate ushauri ye anaenda kwenye ganja akidhani ndio suluhu. Cannabis haipaswi kutumiwa hivi. I recommend someone smoke weed only if they are in high vibration emotionally. When I say High Vibration I mean someone is at peace emotionally.
 

Well said
 
Mkianza kuumwa mapafu msije kuanzisha uzi kuomba msaaada.
 
Mkianza kuumwa mapafu msije kuanzisha uzi kuomba msaaada.

Cannabis contains an ingredient called THC, Tetrahydrocannabiol. Hii ni tofauti na nicotine ya kwenye tumbaku.

Let me tell you one thing, herb haimfanyi mtu aumwe kifua. What herb can get you is you feel HIGH. Don't listen to Babylon get your facts from unbiased sources. Herb is the healing power of the Nation. Sasa kazi kwako jiulize, where and how.

Excuse me when I spliff.
 
well they do! wapo nawajua arusha zenji, na wengi wanakuja, British kubwa mzee.
 
You really can tell a story, ur ex was selfish nd never cared abt ur desires as long as she had hers plus she was so in control of ur relationship, i never had seduced either of girls to smoke blunt and neither had ever tried to stop me from smoking. ��

But they have always joined me, shared nd passed a joint after realizing it was nothing much than calming nerves nd getting even more dope nd humble, i can imagine how u even love her more when u smoke together , inshort my wife nd i enjoy the pleasure of sharing up sme god damn kush
 

It feels so good when sme one else says what u were going to say
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…