My best gospel song ever

Huo kaimba jamaa anaitwa naki kama nakumbuka unaanza hivi baba wa mbinguni unatoshaaa wewe uliye mkuu na mwema ......
Ndio huohuo mkuu naomba unitupie jina lake au link ya Ku download mkuu.
 
Mungu Wetu Mwenye Nguvu-Solomoni Mukubwa Na Nifundishe Kunyamaza-Martha Mwaipaja Huwa Zinasuuza Roho Yangu Kabisa.
 
kuna dada anaitwa "alisa turner" aise hakunaga wimbo ambao kaimba sijawahi kuupenda na haujawahi kugusa hisia zangu...baadhi ya nyimbo zake ni kama 1.miracle 2.my prayer for you bila kumsahau angelbenard na wimbo wake wa "nikumbushe wema wako" aise unanifanyaga nitafakari sana
 
F
EKWUEME by Prosper ochimana......My Ever BEST Song ... aisee ule wimbo acha kabisa, jamaa na yule dada( Osinachi) kweli walipewa ufunuo wa mbinguni...yaan unaweza abudu mpaka na machozi yanakutoka
 
Ndio huohuo mkuu naomba unitupie jina lake au link ya Ku download mkuu.
Mpaka leo nautafuta sijafanikiwa kuupata. Nakumbuka ulikua unapigwa alfajili Wapo FM kipindi cha maombezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…