SDA Swahili zoteKama zipi?tuwekee playlist basi mkuu tujimwage😀
Mkuu hizi lyrics zinafanana sana na wimbo fulani wa Jim Reevesmkuu kuna hii pia....
".......... Precious Lord, take my hand
Lead me on, let me stand
I'm tired, I'm weak, I'm lone
Through the storm, through the night
Lead me on to the light
Take my hand precious Lord, lead me home....." by Gaithers.
Ok,nitazitafuta.Hawa sda mie nawajua sana kwetu pazuri.Ile nyimbo yao ya "kazi tufanye" kwa kweli siichoki.SDA Swahili zote
Mbiu Kurasini SDA Youth Arusha etc
Sikiliza 'Kama Ningefahamu'
Nawafahamu napenda nyimbo zao kama "because he live" sichoki kuisikiliza.Jamani kuna watu wanaitwa Maranatha singers sijui mnawafahamu?
Ni kweli wameimba wengi hata Jim Reeves.Mkuu hizi lyrics zinafanana sana na wimbo fulani wa Jim Reeves
Bless the Lord oh my soul....ndio huo eh?Mine ni 1000 reasons hiyo napenda sana
Anaitwa Jane MisoHivi ile ya kibongo yenye miondoko ya kwaito inaiitwa "moyo" kaimba nani? eeeeeeeeeeh moyooooooooo eeeeeeeeeh moyo.Inapiga sana kwenye harusi
Ni Matt Redman huyo?Mine ni 1000 reasons hiyo napenda sana
Hivi ni lugha gani ile anaimba mle?nyimbo nzuri sana ile imekaa kiutamaduni fulani.Anaitwa Jane Miso
nitapata wapi CD yao mkuumkuu kuna hii pia....
".......... Precious Lord, take my hand
Lead me on, let me stand
I'm tired, I'm weak, I'm lone
Through the storm, through the night
Lead me on to the light
Take my hand precious Lord, lead me home....." by Gaithers.
CD nadhani unaweza pata softcopy labda itunes na hardcopy labda unaweza pata kwenye maduka ya wauza CD wa mjini, mimi personally huwa nacheki nyimbo zao kwenye channel yao ya Youtube inaitwa GaitherVevo "https://www.youtube.com/channel/UCpLq38fB0yaYr2XGBC89zk".nitapata wapi CD yao mkuu
ubarikiwe sana mimi pia huwa naziangalia humo ila nimetafuta hapa bongo sijapata kabisaCD nadhani unaweza pata softcopy labda itunes na hardcopy labda unaweza pata kwenye maduka ya wauza CD wa mjini, mimi personally huwa nacheki nyimbo zao kwenye channel yao ya Youtube inaitwa GaitherVevo "https://www.youtube.com/channel/UCpLq38fB0yaYr2XGBC89zk".
Amina uwe na siku njema.ubarikiwe sana mimi pia huwa naziangalia humo ila nimetafuta hapa bongo sijapata kabisa
asante sana kiongozi ngoja nizame youtubeAngalieni hapa list ya gospel musicians na groups mbalimbali
View attachment 408398