My best off-road trucks/suvs of all times (toyota fj cruiser, ford bronco & ford f-150)

My best off-road trucks/suvs of all times (toyota fj cruiser, ford bronco & ford f-150)

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
1)TOYOTA FJ CRUISER
fj20201.jpg

644d1463af81776e3786636972a51d54.jpg


Hii hapa hata ukiniwekea v8 au hummer bado hautaniconvice kuiacha, Toyota FJ cruiser ni gari fln hivi matata ambayo miaka michache baada ya kutengenezwa(2007) ilipata mauzo mengi yaliyozidi matazamio ya toyota lakini mwaka mmoja baadae mauzo yalishuka kwa kasi sana kwa sababu ilikua ni 2008 ambapo kulitokea anguko la uchumi na mafuta yalipanda bei sana hivyo kufanya watu kuepuka kununua magari. Ila ufalme wa TOYOTA FJ cruiser unaonekana bado kwani sasa ni kati ya magari used ambayo bei yake haijashuka sana kutoka kwenye bei ya mwanzo. Takwimu zinaonesha FJ cruiser ime-maintain 80% to 60% ya thamani yake hadi sasa. Inasemekana kuwa Toyota wana mpango wa kuendelea kutegeneza FJ cruiser .

fj2020.jpg





2)FORD BRONCO
Hii ilianza kutengenezwa 1985 na inaonekana sana kwenye movies za hollywood za zamani (au zilizochezwa kuakisi mazingira ya zamani)
fbronco.jpg


Hapa chini ni mwonekano wa Ford Bronco inayotegemewa kutengenezwa 2021
2020bronco.jpg


Hapo utaleta Jeep wrangler au mercedes benz G-class lakini huyo mnyama hatikisiki.



3)FORD F-150.(Ford Raptor)

Hii haina ubishi kwa upande wa pickup trucks japo elon musk alitaka kuchafua hali ya hewa baada ya kupost clip iloonyesha Tesla Cyber truck inaivuta ford raptor uphill. Hio clip ilikua ina mapungufu sana na hivyo kushindwa ku-convince watu wengi

fraptor222.jpg


Wale jamaa wa hennessy walimodify hii ford raptor na kuiwekea matairi sita

fhennesy.jpg




Hizo gari hapo juu zimebalance durability, power na hata bei yake.
 
Hiyo cruiser ngoja niendelee kuongeza mashamba yangu ya miwa huku nilipo,naamini nitalimiliki,bonge la ndinga kwa majanja
 
Back
Top Bottom