My Birthday!

Genekai

R I P
Joined
Feb 9, 2010
Posts
12,514
Reaction score
4,998
Jamani eeh, mwenzenu kesho itakuwa ni ukumbusho wa siku yangu ya kuzaliwa miaka kadhaa iliyopita. Mamangu(RIP) alinizaa tarehe 03/03/... siku ya jumamosi saa kumi alfajiri. Nawaombeni mzidi kuniombea kwa mungu nizidi kumtumikia vema yeye na wanadamu wenzangu kwa upendo.Sherehe imesogezwa hadi jumamosi kwani kwa kipindi hiki niko kwenye mtihani kama mjuavyo vyuo vikuu vingi muda huu kwa mwanafunzi hakukaliki. Nawaombeeni wote ujasiri na moyo wa kazi na kuzidi kukemea maovu na kusifia mazuri.
Ndimi mtumishi wa bwana
Genekai
 
Happy birthday
Mungu azidi kukulinda na kukubariki!
 
Nakutakia maisha marefu yaliyojaa baraka na umtumikie Bwana kwa uaminifu.Muhubiri 12:1
 
Happy birthday Genekai, may you live and blow 100 and more candles, best wishes.
 
Hongera kwa kutimiza miaka kadhaa
 
Sa nanihii inafanyikia wapi?..waelekeze wadau jiografia ya maeneo...
Happy Birthday Genekai!
 
Happy birthday 2u
u liv in a zoo
u luk lyk a monkey
u smell lyk one too!

How old r u now
we bought a new cow
it keeps mooing mooo
like u r doing now!
 
Hongera nami nakuombea kwa mungu upitilize miaka ya bibilia
 
happy birthday to you baby!

May you live long enough to see your forth generation!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…