My Birthday!

hapi besidei ya kuzalia

ubwabwa wapi au ndo ukata manake kipindi cha mitihani na mifuko imetoboka vile vile
 
Happy birthday Genekai na pole kwa kumpoteza mama yako!! How old were you when she died?? I can imagine!!! Hongera pia umeweza kusoma hadi Chuo cha Elimu ya Juu mbali na machungu ya kumpoteza mama.
 
Happy birthday Genekai na pole kwa kumpoteza mama yako!! How old were you when she died?? I can imagine!!! Hongera pia umeweza kusoma hadi Chuo cha Elimu ya Juu mbali na machungu ya kumpoteza mama.
Asante sana kwa sasa nimemaliza miaka thelathini na mamangu alifariki miaka mitano ilopita(2006 januari 08) kwa kansa ya titi. Ila namshukuru aliye juu kwa kuzidi kunilinda na kuniongoza!
 
Asante sana kwa sasa nimemaliza miaka thelathini na mamangu alifariki miaka mitano ilopita(2006 januari 08) kwa kansa ya titi. Ila namshukuru aliye juu kwa kuzidi kunilinda na kuniongoza!

Amen. Pole sana. Binadamu ameumbwa japo kusahau matatizo na kuruhusu maisha yaendelee. Kaza buti na Mungu wetu ukimtegemea atakuongoza kwa kila jambo.
 
.........Happy birthday to u Genekai!!
 
.........Happy birthday to u Genekai!!
Asante sana Pretty, siyo siri niko mbali na home but nimefurahi san kwa matashi yenu mema. This shows how tender and caring we Tanzanians are!
 
hve many uncounted years bana hapa duniani..ukaishi ukitenda dhambi na kutubu kila mara...

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=wFh-rX_Sfhs"]YouTube- Chipmunks - Happy Birthday to You!!![/ame]
Happy BD Mangi!
 
Happy Birthday To You.
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=FchMuPQOBwA"]YouTube- Stevie Wonder - Happy Birthday[/ame]

Happy Birthday Mkuu, May you live to blow 101 candles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…