FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
This is a very depressing statement to tell someone,
especially coming from someone you are intimate with
i am so depressed this morning i dont think i can work
i am only 24 young ,beatiful also i love styles
what do you guys think?:sad:
Not me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart)😎

amuulize kaka ivi ujui km umefanana na mugabe?
una undugu na masud masud?tatizo nina penda wanaume wanaotisha bt kwa vile haujskii tena poa nasepa naenda kwa wanaume kweli mahand sam!!!!
byeeeeee
Mh,dont be depressed. Shukuru kuwa amekwambia. Maybe anata ka kukuchalenji tu aone reaction yako.
Mr wangu mi huwa ananiambia pia kama nimependeza au hapana. Nikigain weight ndo anakuwa wakwanza kuniambia hivyo nastruggle kupunguza weight.so ucjickie vibaya muulize akwambie kwann anaona u look old.
mapenz yameisha apo
apendw tena
amepata mwngne
He's being honest. Is anything wrong with that?
Mh,dont be depressed. Shukuru kuwa amekwambia. Maybe anata ka kukuchalenji tu aone reaction yako.
Mr wangu mi huwa ananiambia pia kama nimependeza au hapana. Nikigain weight ndo anakuwa wakwanza kuniambia hivyo nastruggle kupunguza weight.so ucjickie vibaya muulize akwambie kwann anaona u look old.
khaaaaaaah honest gani hiyo?
hapo unamjibu kabla yako nilikua kijana sana... umenizeesha weweNot me FL ( me nishawekwa ndani jamaa akinambia hivi namwambia me wako tu hata kama nimezeeka till death do us apart)😎