My casual observation baada ya Mbowe kuachiwa: Chadema iko mioyoni mwa watu!

Na hiki ndo kinawauma maccm. Maana japo Magu aliapa kuifuta chadema na kufunga,kuteka,kutesa,kuua na kununua wanachadema nchi nzima. Mwisho wa siku chadema imekaa mioyoni mwa watu zaidi na zaidi!
 
Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema.
Maana yake nini? Chadema iko mioyoni mwa watu! Erythrocyte
Hata CCM wengi wameshangilia watu wanataka haki na siyo visasi
 
Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema.
Maana yake nini? Chadema iko mioyoni mwa watu! Erythrocyte
Kazi tuliyoifanya ya kuelimisha watanzania huku tukikwepa bunduki haikuwa ya mchezo
 
Back
Top Bottom