Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Nazungumzia RAM.mwanzoni ilikuwa na memory kiasi gani? unazungumzia RAM? na sasa hivi ina memory kiasi gani?
Compaq,Aisee Exaud, tunaomba specs (model, make etc) za Computer yako ili tujaribu kukusaidia
Mkuu,Huenda una trojan programs katika computer yako. Ku-scan computer pekee haitoshi kama una trojan. Jaribu kutumia kasperskyanti-virus ambayo itakusaidia ku-block hizo programs au format computer yako na urudie ku-install programs upya.