My Confesion: Nilitoa Mimba

usijali kwa kuwa limepita hilo, yote ni maisha tu.
 
Hivi uhai wa mwandamu unaanzia wapi? tumboni au akizaliwa tu na kuvuta pumzi?
 
Duh i like your comfession. Mimi kinachoniumiza kichwa kila siku ni kwamba inaonekana rate kubwa ya wanandoa ndio wanaongoza kwa kutoa mimba. Kwanini inakua hvi? Kipi kinatokea mpaka upo ndani ya ndoa na utoe mimba? Kwanini tunaogopa sana tunavyoonekana na watu kuliko Mungu wetu? I hate abortion kwakweli and i will never approve of it unless mwenye mimba ana matatizo ya kiafya na solution pekee kuokoa maisha ni kuterminate the pregnancy.
 

Unakusudia tuungame ili tutubu au tujilabu(kujisifu)? Ninavyoona wenzangu wa dini yapili huwa wanakiri na kutubu faragha chini ya kiongozi wa dini na kwa upande wangu kutubu hakutaki kutangaza bali ni kutia nia kwa Mola wako kuwa unakiri ulifanya dhambi na kuahidi kuwa hutorejea tena. Hii haihitaji kutangaza.
Iwapo unataka tueleze madhambi yetu(pengine kama kumbukumbu) basi kwangu mimi niliwahi kupiga chabo kwa jirani yangu nilipoanza kuharibu godoro!
 
I didn't want to, but she insisted! Blinded by love, i supported her! Thanks God everything worked out fine. Mungu Nisamehe!
 
I didn't want to, but she insisted! Blinded by love, i supported her! Thanks God everything worked out fine. Mungu Nisamehe!

She didn't want to,but I insisted! Blinded by love,she supported me! Thanks God everything worked out fine. Mungu Nisamehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…