My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

Ulevi nooooooooooooooma!
Kumbe kwenye ndege kuna rraha eeh, mm nilijua ni treni tu ndo mnaweza kuongea hadi ndimi zikafahamiana
 
Ishu siyo kuonea wivu bana... what is ndege karne hii? Tatizo ni jinsi hiyo ndege ilivyoshadidiwa as if kama siyo kuitaja stori yake isingeeleweka lol.... Haya hebu angalia mwenyewe hapo chini!.... BTW yule wa kwako wa kuangaliana mkiwa shuleni hujawahi panda naye kwenye ndege?

 

Pole sana inabidi vikao vya baa uviepuke muwe mnamalizana na rafiki yako kazini basi
 
Nashukuru Mungu ya kuwa umetambua kosa lako, jitahidi usirudie kosa hilo kamwe kwani "MUOSHA HUOSHWA".
 
U made a mistake from the beginning bt u still hev chance to reduce the impact!Do not go ahead that habit with ur friend's girlfriend!SAY IT IS ENOUGH TO KEEP UR REPUTATION ANYMORE!
 
Ndio ujue kuwa ULEVI NI NOMA!Ungekuwa unakunywa kwa kiasi yasingetokea hayo yote yaliyokutokea.
Kwa ushauri ni kumweleza wazi kuwa yaliyopelekea yote yale kutokea ilikuwa ni pombe na hakukuwa na dhamira ya dhati katika yale na akuache kwa amani na ukiona anazidi kukusumbua weka wazi kwa rafiki yako.
Kuna jambo linanitatiza hapa,kama mlifika Dar usiku ndio kusema baada ya full denda njia nzima hamkwenda kumalizia mliyoyaanza?Mbona hujatupa stori za baada ya kushuka?
 
Kaka hiyo ni noma! Kwisha hiyo ishu labda utoweke maeneo hayo! Kitakachaofuta utakiona kikitokea mimi na wewe hatujui! Pole sana.
 
kuna wengine hawaelewi, unaweza mweleza mshkaji kuwa ni pombe tu ndo maana ukamla ulimi demu wake mshkaji asikuelewe! pombe ni mbaya sana, mimi nilimgonga kabisa acha kula mate, na mpaka leo kimya wala sijaongea kwa mtu, na hamna cha sms, simu wala nini, tukionana ni shemeji shemeji tu basi hamna sign za mahaba mahaba. Sheria za ndege ni kwamba usiku taa zinazimwa ikashakaa level hewani kama sikosei, zinawashwa pale mnapokaribia kutua. umefaidi sana mzee, ulikosea tu kumwambia asitoe siri tena kwa sms, si ungempigia tu?
 
Mi nadhani wanaume wanaweza lindana ukizingatia huyo demu bado si mke wake. We kosa lako ni pombe ila huyo dada mmhh. Kwa hiyo si bora hata kwa huyo rafiki yako unayempenda kwa hiyo weka mtego ambao utahakikisha unamuondosha huyo demu kwa rafiki yako halafu yeye ataonekana mbaya na utabaki safe na rafiki yako
 
kaka mwambie rafiki yako issue yote yani ukinyamaza siku akijua ni ishu zaidi
 
Kheri yako wewe me nilikula tunda kabisa wewe ombea tu mshikaji wako aachane na huyo msichana maana hajatulia!
 
Mimi ushauri wangu uache pombe. Ikiwa ukinywa pombe unapoteza uweledi na kufanya mambo ambayo asubuhi unayajutia basi pombe haikufai. Huku Muheza utatafunwa kiboga asubuhi badala ya kuamka na majuto, unaamka na ujauzito wa mgongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…