My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

Jamaa ni mzushi..route ni dar-tabora-kigoma/mza-dar. So abiria wa tbr anaekuja dar anapanda tbr afu anaenda mpk kgm/mza then moja kwa moja dar.
hiyo niliyo bold najaribu kucheki na airlines zote kama wana rooute ya hivo ..maana sijawahi kuona mimi..yaani unakuja dar kwanza halafu unaenda mwanza halafundo unakuja dar tena..khaaaa
 
Kuwa makini sana na pombe especially wakati wa safari...just a thought.
 
Tafuta vijana wajifanye vibaka wamuibie simu huyo demu hiyo ndo dawa pekee kwishnei... acha kuuguza kichwa kama hizo sms kazitunza kwenye simu na anazitumia kama chambo!
 
wewe na huyo demu hamjatulia nikimaanish VICHECHE PORI:smash:
 
Wewe na huyo dada wote ni SIFURI!
 
kosa ulituma sms...ukishaharibu usiache evidence,we ungemrukia hewani...kazi kwako sasa.kuna msemo unasema 'bros before ******'
 
Akikuambia anaenda kusema lengo lake kukutisha sasa we unatakiwa usiogope manake ataona kigezo we mwambie kaseme!
 


kua mwanaume.....kaa chini na rafiki yako mueleze kweli ilivyokua kwani si "kiss" tu...kama ulikula mzigo hapo ndo noma !!! mwambie t was an accident nd hukukusudia kabsa na ulikua very high....kisha mtafute namna na kumtega huyo dem aumbuke !!! I'm sure ur friend atakuelewa sana (kama ni msomi) kuliko akija kujua baadae sana atajenga chuki na hatokuamini tenaaa !!! The sooner the better. Ingawa thread yako umejipaisha sanaa kwenye maswala ya ndege. Ukipanda Qatar airways, air bus au private jet cjui itakuaje usije ukaandika kwenye majukwaa yotee !!!! hahahahaha

Au jaribu kumtumia mtu mwingine avizie phone yake afute inbox yake nzima then umlipe kitu kdgo !!!
 
Mweleze rafiki yako story hii.

Kwa maelezo yako kuwa;
Ulisafiri na demu wa rafiki yako na ndege ikachelewa, rafikiyo huwa mnapitiana kwenda mazoezini, na huwa mnakutana akiwa na demu wake; huoni kwamba kuna uwezekano wa jamaa kutambua kukutambua? Kama demu alimweleza jamaake kuwa mlipanda ndege moja frm ... To .... Na ndege ilichelewa alafu huyo jamaa akapitia hii post yako, kuna siri tena hapo?
Labda hiyo story uwe umeitunga.
Ni wazo langu tu
 
Kula mzigo huo acha utoto. Utarudisha nidhamu ukimkamua kisawasawa.
 
Mwambie kweli mshkaji wako na imani atakuelewa!Lkini siku unakwenda kumwambia ongozana na demu wako ili kama jamaa akikataa kukusamehe mwambie na yeye amle denda demu wako!Ova!!

Nawasilisha!!
 
Kaa mbali sana na huyo dada, hata ukiwa nae anaweza kufanya kwa mtu mwingine kam alivyofanya kwako. ULEVIIII NOMAAAAAAAAAA
 
ulidhamiria na dhamira yako inakusuta
 
Uzuri wa JF unatunga kitu,unakibandika halafu watu wanachangia kama kweli vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…