hahhaaaaaaaa... kakako mwenyewe huwa siweki hizo nadhiri, kama ni kuoga we oga tu ila ukichafuka oga tena
nakupa tano kamili mkuu kwa uamuzi wako
Apo tu mpwa,
By the way umemsikiliza kwa makini kaka MTM anachosema lakini, na umemwelewa? yeye ametangulia duniani ujue? hebu rudia tena kumsoma mpwa
ndoa bado changa kwasasa ndugu yangu, ntamwambia tu.
ila imeniuma kiasi ambacho nimeona machungu nije niyaseme hapa kwa mabinamu na wapwa atleast wanipe mawazo nini nifanye, kivipi nimuanze kumwambia my confession.
yaani ulikuwa unachiti kipindi cha honeymoon? kama hujamwambia basi usimwambie kwanza maana nina uhakika utachiti tena. subiri kuna kipindi baada ya honeymoon kinakuja, ukikimaliza hicho (in 10-12 years of marriage) then u-confess na uahidi hutarudia tena
aaah, mkuu sio kihivyo. kuchit kwenyewe ni mara 2 tu sijui, ila imeniuma sanaaaaaaaaaaaa mkuu. haina ulazima wa kusubiri 10 years
mimi George Porjie, nikiwa na akili timamu na wala sijalazimishwa na mtu yoyote, najitokeza mbele yenu wanajamii wote wa JF na wengineo, ili muwe mashahihidi wangu. leo kwa dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu pasina kushurutishwa na mtu yoyote, kwani moyo wangu umekua ukiniuma sana hasa pale nimuonapo mai waifu wangu kwamba kuna kipindi nilikua namchiti. roho ilinimua sana tena inaniuma sana kuona napata na ninapewa kila nikitakacho toka kwake (yale yaliyo halalishwa only) na mengine ni zaidi na matamu kuliko huko vichochoroni, nimekuja kugundua kwamba mwisho wa siku ladha, utamu na mengineyo ni sawa sawa kwa wanawake wote, kwani simu ni simu tu mambo ya kwamba ina kamera, ina slide au ina bluututhi hizo ni mbwembwe tuu!!.
napenda pia kuchukua fursa hii kutubu kwa mai waifu wangu popote alipo kwamba anisamehe sana na nina ahidi kuanzia leo kwamba mimi na yeye ni kufa na kuzikana. na wala sitarudia tena kumchiti.
wanaJF wenzangu, mabinamu, mashemeji na wazee wa kujiexpress jamani nyama ni nyama, tutamaliza mabucha but nyama ni ile ile, tubadilike.
nimeamua kubadilika kuanzia sasa.
oui, j'ai décidé de me changer, parce que la charité commencent à la maison .
eeeh Mwenyezi Mungu nisamehee kwa kumchiti mai waifu wangu.

Mkuu bado una deni kama ww ulifanya kwa wake za watu na wako ujuwe atalipizwa uende ukawaangukie "mahazbandi" wa hao uliokuwa ukibinjuka nao "makaburini" ndo iwe salama vinginevyo wakati ww unajidai umetubu mkeo ataanza.
Ingekuwa ni mke wako ningekushauri usimwambie kabisa ILA ubadilike kwa dhati.Kumwabia mke mabo hayo ni risk kubwa mno.Kubadilika ingetosha kabisa.
Sasa basi,kwa kuwa hujamuoa bado binti wa watu ni vema ukamwambia.Mwambie aujue ukweli na ubadilike.Mwachie aamue kuolewa nawe akijua past yako(I call it past coz assume umeamua kubadilika kweli).Hamna sababu ya msingi ya kuumiza moyo wake hapo baadaye atakapo jua(u never know) ukweli tayari akiwa mke wako.Ni mawazo yangu tu mkuu.
sawa binamu, nimekupata!, nangoja mawazo yako matukufu!!.
Ngoja nipate ushauri toka kwa rafiki yangu serengeti! Hahaha! Binamu bana! Lol!
hapo kwa hili la mpwa inabidi upate upako kabisa kwa maana ni gumu sana linahitaji funga na maombi.
Si unajua hapa mpwa katutega kiaina? Stuka babaake!
mi hanipati babake toka jana nimekwisha toa msimamo wangu kuwa na muunga mkono ila siko pamoja naye kwenye hilo.