Dhamira imekusuta enhee?! Umechiti mwenyewe bila kulazimishwa na roho inakuuma alone. Raha kweli kweli.Mshirikishe na mkeo ili kikutoke moyoni completely.
...mnh,
yataka moyo, 'mwonja asali japo kwa dole ataonja tena...'
mapenzi yana majira yake; kiangazi, masika, kipupwe, na vuli...
Kujizuia siku za 'kiangazi' kwataka moyo wakti ushaonja alternative ya kuganga njaa!...
Kila la kheri mkuu, kila mtu ana skeletons zake kabatini,...
Usijidanganye kuungama kwa mkeo/mumeo,...
"...to forgive and to forget are two different things!"
Dhamira imekusuta enhee?! Umechiti mwenyewe bila kulazimishwa na roho inakuuma alone. Raha kweli kweli.Mshirikishe na mkeo ili kikutoke moyoni completely.
i will try mkuu, ila yataka moyo mgumu.
lakini kikombe hiki lazima nikinywe by any means
Mkuu, asikudanganye mtu, zinaa kama damu ya mtu, ina haunt, ukimzini binti wa mtu na wako ataziniwa,ukimzini dada wa mtu na wako ataziniwa tu,ukimzini mke wa mtu na wako ataziniwa...mama wa mtu,shangazi wa mtu etc etc etc...we jaribu kufanya utafiti...utaona ajabu ya uchafu huu...ww ukiona unam cheat mkeo au mumeo basi ujuwe na mwenzako aidha keshaanza au atakufuatia..."uzinifu unamalipo" haya ni maneno ya wenye busara Mkuu.Two wrongs don't make a right. Sidhani kama mkewe ana akili timamu na ana jiheshimu ata lipiza kisasi kwa kwenda kuliwa uroda na wanaume wengine. Tuombe hayo yasi tokee.