My cousin mary mwingira is no more

Nami nimeguswa sana na msiba huu. Tumeondokewa na msomi mahiri, mchapakazi, mwanaharakati wa nguvu na mpenda watu wadogo kwa wakubwa. aliheshimu watu wote na nilimpenda na kujiona hapa mjini Dsm nimepata mama mwingine ambapo naweza kujifunza mambo mengi na nilijivunia. Dr Upendo na ndugu wote poleni sana kwa msiba huu mkubwa. Mungu akuweke mahala pema mama yetu.Amina
 
Poleni wafiwa,Mungu awajaze nguvu na kushinda maumivu ya kuondokewa na mpendwa wenu.
 
Dear jamii members

I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today

RIP


Innalillahi Wa Innalillahi Raaj'un!


The name is familiar, I wonder where I knew her from?
 
Pole sana mwana JF. Mwenzetu Mungu kampenda kuliko sisi na hiyo ni njia ya kila mmoja ila kila moja anakwenda kwa muda wake

Makao mema Mungu amweke na kumpuzisha
 
Mwenyezi Mungu amlaze Mama Mwingira Mahali Pema Peponi.....Dr.Upendo na Dr.Ndalama Poleni kwa msiba wa Mama,najua mmeondokewa na Mshauri na Mwalimu Mkuu katika maisha yenu.Nawatakia Ujasiri na Uvumilivu katika kipindi hichi kigumu.Sala zetu wote zinaelekezwa kwa Mpendwa Mama. Amen!
 
RIP dada mwingira, Mungu akuangazie mwanga wa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…