My COVID-19 experience, hard times

Nimependa ulivyochanganya lugha, imekuwa ni kama nakusikia unavyozungumza....Mungu akuzidishie sana🀲
 
Nafikiri tuna wimbi kubwa la watu wazima wasiojua kusoma.

Kuna watu wamesema uzi haueleweki wamejilazimisha mwingine anasema tatizo ni lugha.

Hawa ni watu watakaopata watoto na watatakiwa kuwalea.
aongeee lugha moja ieleweke sio kuchanganya hivyo umewahi kuona mzungu anachanganya lugha kama ni kiswahili atazungumza kiswahili bila kuchanganya sasa mleta mada bado ana kasumba za ukoloni anajiona akizungumza hivyo ataonekana msomi .
 
Kuchanganya lugha haijakatazwa haswa sehemu za kijiweni kama hivi.

Shuleni tuliambiwa kuna code switching na code mixing ambazo humaanisha kuongea lugha zaidi ya moja kwenye neno au kwenye sentensi.

Kwahiyo mnaosema hamjaelewa kisa lugha mnataka itumaanishie hamjui lugha zaidi ya kiswahili?
 
It's an art of story telling...ukiwa wasoma inakufanya uone kama unamsikiza mtu hapo karibu anakusimulia Lizzy huwa ni mmoja wa watu wanaweza sana hii kitu, wengine nimeona wanafanya ni lara 1 Karucee
 
Ps​
Kwa wale ambao wamevurugwa mpaka wanafikiria suicide sababu ya ugumu wa maisha please don't. Don't fvcking do it. Find someone to talk to....and if you are not much of a talker, find some other way to deal with the sh!t in your head.
πŸ«‚
Umeandika vizuri, umefanya Asubuhi yangu kuwa nzuri thank you madam.
 
It's an art of story telling...ukiwa wasoma inakufanya uone kama unamsikiza mtu hapo karibu anakusimulia Lizzy huwa ni mmoja wa watu wanaweza sana hii kitu, wengine nimeona wanafanya ni lara 1 Karucee
Labda Kama Kuna lugha anataka kuzalisha!. Kikubwa ameeleweka swala la kama anakusimulia ni vile ulivyolipokea.
 
the lesson learnt dear Lizzy, Hongera kwa kutoziogopa changamoto, sababu Mimi huwa naamini challenge is what make us grow..! tunapaswa tusiziogope changamoto sababu ndiyo hufanya life kuwa meaningful,

Some people are passing through a hell of time, but the only thing that keep them pushing and grinding hard is HOPE, thinking maybe tomorrow things won't be the same again as there's always light at the end of the tunnel.!

Huwaambia rafiki zangu 'IT WAS NEVER PROMISED TO BE EASY, BUT IT WAS PROMISED TO BE POSSIBLE'..!

'impressed by your writing too'..!😍
 
It's an art of story telling...ukiwa wasoma inakufanya uone kama unamsikiza mtu hapo karibu anakusimulia Lizzy huwa ni mmoja wa watu wanaweza sana hii kitu, wengine nimeona wanafanya ni lara 1 Karucee
Its something you can't actually control.

Unajaribu unaandika na kufuta lakini wapi ile flow inavurugika una sita sita ku type.

But when you are free to mix your languages you actually flow so well.

Kabla mambo hayajawa mengi.
 
Pole sana Mkuu Kwa changamoto uliyopitia pia hongera kuweza kukabiliana nayo.

Madhara ya Uviko -19 yalikuwa ni makubwa zaidi kiuchumi hasa Kwa sekta ya Utalii, Elimu hasa wale Maagent wa vyuo vya Nje pamoja na biashara Kwa ujumla kutaja Kwa uchache.

Kwa Upande wa Watumishi, walishindwa kupandishwa madaraja wala Kuongezwa mishahara Uviko -19 ikiwa miongoni mwa sababu zilizochochea.

Ila yote kwa yote, unastahili pongezi zangu. Nyie ndiyo wale wanawake ambao tunaweza kudate Mwaka Mzima hujaniomba hela kwa kuwa Unajua mwenyewe kuzitafuta πŸ‘πŸ‘πŸ’ͺπŸ™ŠπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nafikiri tuna wimbi kubwa la watu wazima wasiojua kusoma.

Kuna watu wamesema uzi haueleweki wamejilazimisha mwingine anasema tatizo ni lugha.

Hawa ni watu watakaopata watoto na watatakiwa kuwalea.
Uvivu wa kutokupenda kusoma ni janga kubwa sana, mtanzania hataki aumize kichwa kabisa mlete nada nampongeza sio kila jambo lipo direct na watu wasipende mambo marahisi rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…