My COVID-19 experience, hard times

Hao mnaokotaga wap, haaa haaaa king'amuzi, Ada., sabuni ya kuogea. Huyo mtu ni kiwete
Wewe hauko hivyo rafiki?

Kuna wenzenu wanakera hata kudate nao, mtu anaomba ada, Kodi, Umeme, king'amuzi, hela ya saluni n.k. inafikia wakati hata hamu ya kuendelea naye inapotea.
 
Wewe hauko hivyo rafiki?

Kuna wenzenu wanakera hata kudate nao, mtu anaomba ada, Kodi, Umeme, king'amuzi, hela ya saluni n.k. inafikia wakati hata hamu ya kuendelea naye inapotea.
Hata hivyo bora mkomeshwe kwanini mnachepuka? Acheni hizoooo
 
Hata hivyo bora mkomeshwe kwanini mnachepuka? Acheni hizoooo
Kwani hujui Mwanaume anauwezo wa kulala na mwanamke siku zote 365 za Mwaka? Sasa niambie Mwanamke gani ataweza kumudu mechi za hivyo?

Lastly anajikuta anachepukaπŸ™ŠπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hizo siku 365 kwa mwaka unachimba chimba tu unatafuta nini?
Kwani hujui Mwanaume anauwezo wa kulala na mwanamke siku zote 365 za Mwaka? Sasa niambie Mwanamke gani ataweza kumudu mechi za hivyo?

Lastly anajikuta anachepukaπŸ™ŠπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Humu baadhi yetu elimu tuliyonayo ni ya ngumbalu kwa hiyo lugha gongana hapo
 
Dah hii imenikumbusha nilivyokuwa jobless kwa miaka mitatu. Wakati mgumu sana ule ulikuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…