My Dear Girl,You are in Love with a POWERBANK

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wewe umempa umuhimu wa kwanza...unamuwaza
wa kwanza...
ukiamka unamtext wa kwanza....
kabla hujala unamkaribisha...
ukitaka kutoka Outing unamwambia...Umuhimu wake
kwako ni kama network kwenye simu... Bila yeye huwezi kuwasiliana..
Yeye walaaaa hana habari..
Akiamka busy...Akitoka hasemi ukipiga ndo utasikia
NIKO TEGETA MARA 1...Kwake yeye wewe ni POWER
BANK tu....Umuhimu wako unakuja Charge
ikiisha....Mvua ikinyesha ndo utamsikia anakoroma''Baby baridi can we meet baadae
nimekumiss''na akishamaliza ku-offload Yoghurt
ataadimika kama mtandao wa Tigo Mbeya Vijijini
My Dear Girl,You are in Love with a POWERBANK....Um
uhimu wako ni Simu ikiwa Low Battery...Omba Mungu
akupe TANESCO yako binafsi isiyo na.Competition ya Supply.
 
Hahahahahaha nakufa mimi na mbavu zangu....
 
Back
Top Bottom