Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
We tutukane kila aina ya matusi lkn ukija huku fuata taratibu na tamaduni unazozikuta, wanoishi huku wanajua hayowapuuzi na wavivu kazi aliyewaambia nchi ni ya waislam tupu ni nani waamke vipi nasi huku tukiwafanyia hivyo kwaresma.
Hawajifunzi hlf wanaona wanaonewaKwa kweli nyuzi kuhusu zanzibar zimekuwa nyingi aisee. Halafu cha kushangaza kila mwaka yanajirudia mwasuala yale yale kuhusu zanzibar kula hadharani, sijui watu hawajifunzi au ndio unafk tu
Nimeipenda hiiWe tutukane kila aina ya matusi lkn ukija huku fuata taratibu na tamaduni unazozikuta, wanoishi huku wanajua hayo
Kwa Mazingira ya zanzibar yanavyokuwa mwezi wa Ramadhani hata wewe utajiskia vibaya kula hadharani, kunakuwa hakuna mishemishe za migawahawa wala mama ntilie, sasa jiulize huyo anaekula hadharani hiko chakula kakitoa wapi? Watu wengine tu wanapenda kufanya fujo la maksudi. Zanzibar huo ni utaratibu...hulazimishwi kufunga lkn hakuna kula hadharaniKwa nini watengewe sehemu maalumu za kula? Raia wasiofunga wanapaswa kuwa huru kula mahali popote.
Wa visiwani kwa ndumba alafu wanajifanya Wana dini.Wabara kwa wizi,alafu wana machogo.
Wa visiwani kwa ndumba alafu wanajifanya Wana dini.Wabara kwa wizi,alafu wana machogo.
Inaelekea hakujui huyu🤣🤣🤣sawasawa
🤣🤣🤣mwache tu mie namvutia kambaInaelekea hakujui huyu
Papa kasema kanisa libariki machokoMashoga kila nyumba na kuwafukua mitaro wake zenu huku mmejificha kwenye imani unadhani ni vizuri? Mnajifanya kwenda sokoni Wanaume kumbe wake zenu bila pampers hawawezi kutembea
Sio zanzibar, bara sawaKwa nini watengewe sehemu maalumu za kula? Raia wasiofunga wanapaswa kuwa huru kula mahali popote.
Sema sijasikia visiwani wakiwaua ZeruzeruWa visiwani kwa ndumba alafu wanajifanya Wana dini.
Hatar sana hawa watu chiefkuna kitu umegusia kimenigusa sana, Kwa kweli wabongo Ni wezi sana
Kweli kabisa chief,, yaan ni kama vile wanzibar wa huku walalamike kwanini mwezi wa ramadhani sisi wabara tunakula hadharani? Lazima tutawashangaa sana kwakweliTatizo kubwa ni kuwa Wabara wengi sio wastaarabu, Kimsingi unapokua ugenini unatakiwa ufate taratibu zao ukiona huziwezi rudi nyumbani. Wapemba wengi wanaishi hapa Dar, sio kama kila kinachotendeka kwenye huu mji wanakifurahia, ila kwa vile hapa sio kwao unawakuta wametulia wanapiga ishu zao kimya kimya na maisha yanaende. Tatizo kubwa ni kuwa Watanganyika wanalazimisha Zanzibar iwe kama wanavyotaka kitu ambacho hakitawezekanwa.