"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"Hahahaaa.... I can imagine the pressure Rev, njoo nikukopeshe sadaka
Nguo za watoto for sikukuu, Mbuzi and Mbege for Christmas and New Year....
Pole
RR... leo umeamka vizuri sana, ulipopita jana usiache kwenda aisee,Mshahara ni kama hedhi, unakuja na kukaa siku 3 hadi 7, usipokuja ujue una mimba tayari.
hivi leo siku gani vile"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"
RR... leo umeamka vizuri sana, ulipopita jana usiache kwenda aisee,
Dah
tatizo mimi nikinywa hizi syrups huwa najaa tumbo tu ati!!!Effect za heneken za kichina mkuu....
tatizo mimi nikinywa hizi syrups huwa najaa tumbo tu ati!!!
labda ntachanganyia black label ofa ya vespa
lol, SIE TUMBILI ZINAGOMA???Hahahaaa...
zile ni binadamu wa kawaida tu....
tatizo mimi nikinywa hizi syrups huwa najaa tumbo tu ati!!!
Labda ntachanganyia black label ofa ya vespa
ukiangalia vizuri hii picha kuna mmoja hapo kanyoosha mkono kabisa akisubiria mshahara wake
leo niko chamber mkuu... nimerudi salama ila gari imenisumbua kidogo njiani, haili kabisa mafuta....hivi makorora black label zinapatikana
Dear Salary
Please come back to STAY with me.
You left in such a rush last month,
I didn't even have time to tell you about my plans.
I'm sorry about whatever it is I did.
I promise I'll be good.
I'm sorry about whatever it is I did.
I promise I'll be good.
leo niko chamber mkuu... nimerudi salama ila gari imenisumbua kidogo njiani, haili kabisa mafuta....
Natafakari tu namna ya kufikisha hawa mbuzi, kuku, kambare wa ru na mbogaboga nyumbani aisee
Kwa hiyo hawa wanacheza kiduku au wacheza kiduku waliiga kwa hawa kucheza kiduku?
mmmhh mi naona hawa ndo wazinduzi wa kiduko..
maana wenyewe walianza kucheza kiduku kabla si hatujazaliwa
hahahahah lol
TF vp mkuu....mkoloni keshacheka ni mifuko yako?
Nitasusia JF iwapo chat room hairudi! Fikishieni ujumbe MOD