My Dear!

dear salary... i am in love with alcohol, yet i depend on you

please advice
 
Tena kubwa kiongozi...unakuwa umetenganishwa na alcohol...
yani hapo ndio tatizo kubwa

haka ka-salary bana ingawa ni kadogo ni muhimu sana aisee

Hivi naelekea finance kucheki kama wali-approve advance kidogo ya wiki hii
 
Hapo hata football haiangaliziki

Kwa hiyo salary akiondoka anaondoka na women, wine and soccer.....balaaaa...
Dear Salary usiniache...
 
Mimi my dear salary amekasirika eti nilisema chezea mshahara sio kazi yaani mwezi huu naona mimba tayari!
 
Lol ile ya pale Africa sana waliifunga walai wapi niende hommie?

Imehamishiwa mbele kidogo bana...less than 50m....wahi hommie..tusijelaumiana bure...
 

Mtu mzima akikosea....?!
 
Makubwa Boss amesambaza waraka! |Eti kwa sababu zilizo nje ya uwezo Kampuni haitoweza kulipa mishahara ya Dec, badala yake tuanze likizo kesho hadi tarehe 3 Jan 2011. Sasa jamani hizi sikukuu itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…