My dream husband.....

Meg

Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
8
Reaction score
3
Me i wish my future husband awe mrefu,mweupe,hard worker na mwenye kupenda family yang n u?wat z ur wishezs 2ur future husband or wife???
 
And thats your dream hubby....!...all the best Inna.
 
Une'sahau mshiko mama, apo ndo kwenye network! Lool
 
Ndoto za utotoni ni tamu asikwambie mtu. unaota umekuwa King or Queen! Endelea tu kuota ila elewa ndoto haijirudii na huwezi kuiendeleza baada ya kuamka
 
Me i wish my future husband awe mrefu,mweupe,hard worker na mwenye kupenda family yang n u?wat z ur wishezs 2ur future husband or wife???

We binti, bado unaishi kwa ndoto tu.........karne hii...

Hizi ndoto ndo zinasababisha mwisho wa siku watu wanapagawa na kupata mistress.....
 
Endelea kumuomba Mungu atafanya njia lakini punguza vigezo maana mume mwema hutoka kwa Bwana, unaweza ukapata huyo wa vigezo unavotaka msidumu katika mapendo
 
Me i wish my future husband awe mrefu,mweupe,hard worker na mwenye kupenda family yang n u?wat z ur wishezs 2ur future husband or wife???

kama wewe ni Mkristo basi mshike Yesu atakupa mume mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…