My ex-girl ananifuatlia facebook

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau my ex gal wangu cjui ananitafuta uchokozi gani,ananifuatlia sana facebuk,kila nkicomment kwa msichana yeyote lazima aniulze ni nani wangu,ananitagg picha zake bila ruhusa yangu,jana kanitagg picha ya mkaka flan hv ambae nahisi ndo anae mkamua sa hz, nkajarbu kumuulza akanijbu kimkato tu..nimemchmba mkwara lakn naona hausaidii.naombeni mawazo yenu yenye busara ya hatua gani za kuchukua!over
 
Facebook ndio mdudu gani tena mkuu,......
 
you have to block her........wewe hautakuwa na uwezo wa kuiona profile yake wala yeye hataweza kuiona ya kwako. Hiyo ndo dawa!!!!!!
 
Kama unadhani huhitaji kuwasiliana naye kabisa dawa yake ni ku m block, hutamwona tena na yeye hatakuona tena hata ukimsearch. Labda ukitumia ID nyingine. Hiyo ndo dawa inayoweza kukusaidia. Otherwise uwe bado unampendapenda ndo utashindwa kufanya ku mblock. Nami alikuwepo wa namna hiyo nili mblock na sasa simuoni tena bado kwenye simu ndo anaweza kunitafuta japo na kwenyewe natafuta namna ya kumblock maana sipendi anipigie kabisaaa.
 
ahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaa_mkuu alikuudhi sana,..maake mmmmh
 
ahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaa_mkuu alikuudhi sana,..maake mmmmh

Yaani aliniudhi kupita kipimo nkamu, na sasa anaendelea kuniudhi kwa kunitafuta kwenye simu. Ningependa anisahau kabisa kama nami ninavyo msahau, ni king'ang'anizi sana. Njanga ghwee.
 
Mkuu kama humpendi basi block her,ndo atajua kweli humhitaji na hata weza tena kukuzingua,
hata akitumia account fake hutaumia na sana sana atakuwa anajiumiza yeye kuona mambo yako
 
Mkuu si umuulize feis buku kwa pm? Au ngoja aje atakujibu tu
 
you have to block her........wewe hautakuwa na uwezo wa kuiona profile yake wala yeye hataweza kuiona ya kwako. Hiyo ndo dawa!!!!!!

Kabisaaaaa dawa ndo hiyo..mtie Block! otherwise kuna option katika settings ambayo inakuruhusu ku-preview kila picha utayokuwa tagged before haijakaa katika profile yako..so ili ikae katika profile yako una-accept otherwise una remove..so nenda kwenye privacy settings karekebishe!!
 
Mpotezee tu. Mwache afanye atakavyo, we jifanye kama humwoni vile, endelea na mambo yako tu
 
hovyooo, hivi hili nalo ni tatizo?

si umesema ni ex wako? Kwa nini usimblock?
 
hovyooo, hivi hili nalo ni tatizo?

si umesema ni ex wako? Kwa nini usimblock?

jamani being your x doesnt mean is ur enemy. huyo anatakiwa kuwa rafiki yako ambae mnaweza kusalimiana, kusaidia pale mmoja anapokwama na hata kurudiana kama kuna haja ya kufanya hivyo!!n.k n.k. Hayo mambo ya kukerwa kwenye USOKITABU wala si tatizo kubwa, muache tu aendelee na pale unapoweza kumjibu mjibu tu atachoka mwenyewe
 
he he he huyo demu pimbi kweli yaani kakutag picha ya bwana wake...we mblock tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…