My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

Mwambie hizo picha tunazisubiri hapa JF (Jock)!
Naamini anakutishiti tu ili umkubalie, sababu kufanya hivyo naye atadhalilika, kwahiyo burudika tu na fundi wako, ila wala usimjibu, mpotezee!

yeah! Ful kumpotezea!
 

LET HIM GO... Coz your Destiny is never tied to any body who left...
 
Aisee uyo ex angepigwa red 'X' chata,uson ili Gari la manispaa taka wakimuona wamzoe,akil fupi kama nanhii yake..shost usimuogope,usimjibu,usimpe chance ajue unahofu..akiweka picha,nawe edit zake akiwa anafanywa nyuma tena na mbuzi au mbwa,af umbandikie ofisin kwake,au wasiliana na wadaku wa magazet ,af tuone.coz za kike tushazoea,atest zali!..alaah me ayo matahira cyapatagi..kwa bahat njuli au mbaya myx,ni myfriend na bznes patner wangu,.if u cant fight me,join me rule,imeplay part!
Me uyo mtu kaniboa! Pole mwaya.
 
Kweli huyo sio mwanaume.Mdharau na mpuuze,kinamchomfanya ajisikie hovyo ni wewe kuwa na mtu anaedhani wa chini.Sijui itachukua muda gani mpaka watu wajue kuwa thamani ya mtu haiko nje bali ndani.Anajiumiza bure yeye akubali matokeo tu!
 

ur ex is a gentleman! Ni wachache wanaweza kubehave that way! Thanx!
 
Mpende sana ur Present, i'm sure u'll forget that bullshit. "Don't raise the dead body when you have got to know that it's a dead"

the dead is tryn to resurect himself jamani!
 

Really.!! "IF YOU CAN'T FIGHT ME, JOIN ME"... I like it...
 
Da pole. Usiwe unamjibu wala usitake afahamu life status yako kabisa. Badilisha line ya simu achana naye. For your peace!

Hili nalo wazo zuri sana,litumie!
 
ur ex is a gentleman! Ni wachache wanaweza kubehave that way! Thanx!

kwel,i thank God 4that,.kila m2 anawake,n 2najuana na kutaniana now,though mwanzoni ilikuwa ngum,but now na mchezo tunacheza,upatu.
 
There is big different btn "MWANAUME" and "MVULANA", So your Ex is stil MVULANA... Let him go...

thats true cuz the way anabehave huwezi amini ni mtu anae approach 40's jamani!
 
Dah ndo matatizo ya kutembea na
 
Sabry001 pole mama. Shit happen sometimes. Usbadlshe namba wala ID kwasababu utatuadhbu tusiokuwa na hatia... Wangu, skuzote ukimya unakele kuliko bomu. Mpuuzie ila sms ya kitisho, au namna nyngne ya vtisho hifadh ushahd na ukiona anazdsha toa taarfa ktuo cha polisi....yote kwa yote mtese kwa kunyamaza
 
Last edited by a moderator:
mwambie tu siwezi kuzuia unachotaka kufanya,fanya kitu roho yako inapenda,atakuchafuta ila itasahaulika,je baada ya hapo atafanya nini tena
 
Hongera sana kwa kuchagua maisha yaliyo nafuraha kwako, anachofanya huyo ex wako ni mkwara tu, simama ktk msimamo wako na iwapo atakufanyia ubaya wowote mpeleke ktk vyombo vya Sheria.
 
Pole sana kwa yote lakini naomba niende mbele zaidi kama funzo kwa wengine kuwa ktk mapenzi ya dhati..kuwa finance or material possession ni vitu ambavyo huja last na sio mwanzo. I wish you all the best in ur new found love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…