My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

kesi nzuri hiyo, nenda kituo cha polisi kilcho karibu nawe, lakini mahalimwafaka nenda kwa makachero wa mkoani kwa RCO, wale watafungua jalada la cyber crime, halafu kazi itaanza. toa taarifa ikusaide baadaye
 
Nenda polisi katoe taarifa na hizo meseji kama hujazifuta kazioneshe ili uwezi kulinda heshima yako,vinginevyo atakudhalilisha na utauza magazeti ya Shigongo.
 
Same thing is happening to me jamani my ex doesn't want to get it into his mind that I ve moved on..kila cku ni full matusi yani!jamani!kha!
 
just simple question, umesema anamsichana amejichora tatoo mwili mzima (jina la your ex) umejuaje hili? Isije ikawa bado unamnyemelea kimtindo,au unafuatilia mambo yake ndio maana kakutishia kuzipublish pic zako.
Forget about him for good.usijibu hata sms zake,ikiwezekana black list him.
 
Same thing is happening to me jamani my ex doesn't want to get it into his mind that I ve moved on..kila cku ni full matusi yani!jamani!kha!

pole jamani! Smtimes nashindwa kuwaelewa wanaume na reaction zao.
 

ni miezi kibao ilipita bila mawasiliano bt from no where akaanza kusms. Sina tym nae, i've moved on bt seems he want to hold me bak bt cant alow that!
 
Du kwa hiyo ni great thinker wa JF huyo. Halafu ukute ni bingwa wa kuwashauri watu jinsi ya kutreat wapenzi wao vizuri, inasikitisha!
Sio wote humu magreat thinker, mengine kazi yao kuharibu tu.
 
Tena pakikucha haraka nenda kwa RCO makachelo wafanye kaz.Wakishndwa mloge.
 

Duh! Ushamba mzigo. Hope atamaliza hiyo balehe yake soon. Kama alivyosema Bishanga hapo juu its wise kufungua RB just in case of assault or anything.
 
hii thread inaendana na ile inayosema mpenzi wangu nampenda lakini ana tatoo nyingi?/ ama nimekosea jamani..hakuna uhusiano wowote kweli??
 
fb akaunti nilidiactivate siku mingi. I wish to change my name hapa jf cjui nifanyeje?
Hivi mkipenda Wanaume ndio mnakuwa mnatokwa na akili kiasi hiki? Privacy zako kama hii ID yako ya JF kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuijuwa?
Ok tuma pm kwa Invisible mwambie akubadilishie Username yako ili utumie jina jipya utakalopenda then futa Subscription zote kwenye Folder lako. make sure folder liko Empty.
 
I Can help you take care of that na i guarantee he will become a man again:cool2:, kama unaona Plan A inakutisha basi
naweza kukusaidia umsahau, by kumsahau namaanisha kutoumizwa na vimikasa vyake, maana nahakika jamaa :crazy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…