Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Habari za jumamosi waungwana wenzangu,nafikiri wote mko safi mnaendelea na shughuli za kila siku,jana nilikwenda bar kufurahisha macho kidogo na kupiga stori na wabongo wenzangu,basi kuingia katika ile bar nikamkuta rafiki yangu yuko pamoja na ex wangu ndio wanaikamua Ijumaa,mzee nikawasalimia na nikaendelea na zangu,sasa najiuliza nimwambie mshikaji kuwa pale mimi nimeshapita au niuchune? je mshikaji akija kujua kama mimi nilipita na nimeuchuna sijamwambia kitu halitokuwa tatizo? Nalog off