my ex wangu na my friend wangu

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
Habari za jumamosi waungwana wenzangu,nafikiri wote mko safi mnaendelea na shughuli za kila siku,jana nilikwenda bar kufurahisha macho kidogo na kupiga stori na wabongo wenzangu,basi kuingia katika ile bar nikamkuta rafiki yangu yuko pamoja na ex wangu ndio wanaikamua Ijumaa,mzee nikawasalimia na nikaendelea na zangu,sasa najiuliza nimwambie mshikaji kuwa pale mimi nimeshapita au niuchune? je mshikaji akija kujua kama mimi nilipita na nimeuchuna sijamwambia kitu halitokuwa tatizo? Nalog off
 
Nadhani ni vuzuri ukamwambia. . . though huyo dada anaweza akawa ameshakuwahi.
 
duh, 2washa ulikuwa bado unataka kugonga kopi?
Kama hutaki kopi inahu?
 
Why umwambie...kwani demu hajui we huyo ni mshkaji wako sa ye demu amuambie msela kua ushawahi chovya
 
Au umeshaukwaa unaogopa kumpoteza jamaa. Kama ni hivyo mweleze mapema.
 
Kuna washikaji wengine ukiwaeleza hilo suala na ushikaji unaishia hapo, look very my friend..!
 
Nadhani ni vuzuri ukamwambia. . . though huyo dada anaweza akawa ameshakuwahi.
Nikimwambia na jamaa akachukua jukumu la kumwacha mwanamke si atanimaindi mimi? Nalog off
 
Why umwambie...kwani demu hajui we huyo ni mshkaji wako sa ye demu amuambie msela kua ushawahi chovya
Hapana demu hajui kama huyu new comer ni mbongo mwenzangu. Nalog off
 
Au umeshaukwaa unaogopa kumpoteza jamaa. Kama ni hivyo mweleze mapema.
Hapana bado sijaukwaa,wanadai sie wenye damu ya group o +ve hatuupati huu ugonjwa. Nalog off
 
Kuna washikaji wengine ukiwaeleza hilo suala na ushikaji unaishia hapo, look very my friend..!
Na ndio maana najiuliza nimwambie au niuchubue! Nalog off
 
Unless kuna kitu cha hatari sana ambacho anacho ama anafanya huyo dada, its none of ur damned business. Usije ukajigeuza PR wa huyo dada. Kesho ukimuona na mtu tena utaenda kujieleza ama? Hebu log off baba!
 
halua haina makombo, na wala haipungui utamu. Mwache best wako ajipatie kisima cha burudani, si wewe ulishindwa? Unalalamika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…