calvinbill
Member
- Apr 1, 2012
- 8
- 1
calvinbill unauliza samaki baharini wakati ndio kwao! fanya hima nenda, mbona unataka kumtia hasara mwenzio?? ebo!Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia mgongoni nikakosa balans tukaanguka chini, kugeuka nikakuta ni yule wangu wa zamani, akanibusu na kunilisha juice yake kidogo, watu walishangaa na walinzi wa G4S walishakaribia, huyu mdada nilimpenda sana, leo amenialika Uganda anako ishi na amenitumishia Flight ticket niende next week. je nifanyeje?

Mkuu una ukoo na Sheikh Yahya? Umejuaje kama mwanzisha sredi ni mwanaume?:hand::rain:nenda akakutambulishe mme wake.😛eep:
Preta! tatizo lipi tena? Ni maisha tu, hasa ukizingatia yalivyo mafupi, ni kula bata kwa kwenda mbele bila kujali kama umeoa/olewa, kama baada ya miaka tisa mmoja ana gita na wewe una ngoma. Ni kuunda bendi tu hata kama ni mmoja wenu tu ana vifaa vya mziki. Mnaendeleza libeneke tu kwa kwenda mbele.tatizo.....
Acha upelelezi..hiyo juisi aliyokupa ni ya tunda gani?
Kiitikio: Tantalilalila lalala lalaaaa x 2taraaah taraaah tataah X 2...am just singing