my ex


What are you waiting for?
 

wabongo kwakupenda maisha ya kwenye movie..haya sasa tuambie hiyo umeona kwenye movie gani?:redface:
 

mkuu umekuja kuaga au kutaka ushauri,coz u seem kinda excited..simply,usiende,frimason uyo,teh teh tket mpe best friend wako,...
 
ni hapo utakapokuta kumbe ni mke wa komandoo wa al-shabab..
 


mmmh ila stori zingine kuamini inachukuwa time sana, sijajua kama kweli mtu miaka tisa eti akukute barabarani akubusu akunyweshe juisi yake, kweli jamani, inamaana hakufikiri kuwa ndani ya hiyo miaka tisa umeshapata mtu mwingine na may be uko nae meneo hayo, hii story yako kwa kweli kwa kweli .....bado imekaa ki movie movie hivi....
 
Acha papara, hivi unajua back ground yake mda huu?usituletee maradhi kutoka nje,
sasa jipange kufungua account ambayo kule kuna branch maana mambo ya kugharamikiwa sio mzuka,unaweza kufika huko ukarudi arusha kwa miguu. Je wewe huna ubavu? Maana chunga tamaa ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…