My Father. Our Hero. Who is your Hero?

I am my own hero, sidhani hata kama naweza kuelezea why ya Mungu mengi jamani
Not bad mkuu. Ila nadhan una experience unayoweza share nasi hapa.
 
Dah yule mwanamke alipitia mateso mengi sana kwa ajili yetu apumzike kwa amani.

Kwani mama yangu hafai kuwa shujaa wangu ebu acha hizo!
Hero can be anyone. Wapo ambao walikua chini ya wajomba, wengine dada zao au kaka zao.
 
Basi mkuu kumbe sikuwa mbali ila nikivyosoma kichwa cha uzi tu zilikuja hizo fikra juu ya huo uzi
 
My mom...my Hero... Mungu wangu mhurumie Mama yangu Kama alivyonihurumia. Mfanyie Wepesi mambo yake. Amin
 
Ndio huyu huyu
 
This is what we need. Kuwaonyesha watu kuwa kuna ndoa zenye furaha na kuna wababa walioleta positive impact in their children's’ lives.
 
This is what we need. Kuwaonyesha watu kuwa kuna ndoa zenye furaha na kuna wababa walioleta positive impact in their children's’ lives.
Ofcourse mkuu. Lets be proud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…