My Father. Our Hero. Who is your Hero?

My mom. My everything in this world.
She raised us as a single parent since I was 9. Tangu baba'etu alipofariki ghafla tu.Huyu mwanamke ni wa heko na ni wa kupigiwa mfano. Alhamdulillah jambo la kumshkuru Mungu ni kutuachia hai mama etu hadi leo anafaidi matunda ya malezi yake bora kabisa aliyotulea. Alhamdulillah. Love u mom....to the moon and back.....
 
Nimefurahi kuona umeappreciate her efforts, be blessed Angel Nylon
 
My superwoman
My mom[emoji177]
Huyu mwanamke aliyopitia na anayopitia ni mazito Sana ila yuko imara sana.

Dear Lord for the sake of my parents, especially my mom..make me successful.
Amen. May the Almighty hear this[emoji120][emoji120]
 
I wish wanangu waje kushuhudia namna hii kama analyse anavyoshuhudia mazuri kutoka kwa wazazi wake.

Ni familia chache Sana zinamaintain hii hali hadi mwisho

Mungu ninaomba unipe mume Bora[emoji3590][emoji2969]
 
Analyse Babako nampenda sana.

Napenda sana anavotumia experiential learning kwenye maisha yenu/yako.

Sijasahau habari ya mashamba ya tangawizi.

Kuhusu my Hero mi ni baba yangu pia.

Babangu aliwahi kuniruhusu nikapigane na mvulana.
Alinipiga nikalia, nikarudi nyumbani ninalia.
Akaniuliza kwann unalia, nkasema nimepigwa na fulani!
Akaniambia kwann kila siku unapigwa na unarudi nyumbani unalia, simama!

Nikasimama, akaniambia this time around utapigana.
Nkasema naogopa, yule ni mvulana.
Akaniambia sawa, ila na wewe ni msichana.
Tofauti pekee iliyopo kati ya msichana na mvulana ni the fact kuwa mmoja anavaa kaptura na mwingine anavaa sketi.
Kuanzia leo utakaa kaptura.
Na utaenda kupigana.

Nikavalishwa kaptura, nkarudishwa eneo la tukio.
Akageuza kuniacha (tulikuwa tunakaa maghorofani) kumbe alilaa juu kama balcony hivi anatutizama.

Nkaenda nkaanzisha revenge, nkamchapa bana yule mvulana.

Aseeeeh.
Sijawahi sahau that energy ndani yangu.

Na sijawahi kusahau maneno ya babangu.

Na yamenivusha mahali kwingi mno.

My father my Hero.
 
Ha ha haaaa. Bibie upo? Long time no see
 
I wish wanangu waje kushuhudia namna hii kama analyse anavyoshuhudia mazuri kutoka kwa wazazi wake.

Ni familia chache Sana zinamaintain hii hali hadi mwisho

Mungu ninaomba unipe mume Bora[emoji3590][emoji2969]
I hope one day we will all get what we have been praying for.

Hivi hizo sifa za mume bora mimi sina kwani?[emoji85][emoji85]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nimempenda pia mzee wako. Amekufanya uwe strong na uweze kujisimamia.

Much respect to him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…