KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Hiyo ni moja kati ya interview nayopenda kuirudiarudia,inamuhusu muandishi anaefahamika kwa majina Robert kiyosaki alieandika kitabu cha "poor Dad,rich Dad" na vitabu kadhaa kama fake n.k
Kupitia interview hiyo nilipata kujifunza vitu kadhaa na hakika hata wewe ukiitazama hutotoka mtupu!..
Tujumuike pamoja kushea interview au documentary za video mbalimbali ambazo unazikubali..
Let's share here..