Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 772
- 2,421
Ukitaka nisikilize Radio siku nzima. Niwekee CLOUDS FM halafu ficha remote. Wala sitahangaika kukupigia simu. Hii redio imesimama sana na vipindi vyake vina mpangilio na mtiririko usiochosha.
Ukitaka nitazame TV kwa local channels siku nzima. Niwekee EATV halafu ficha kabisa remote. Sitakuwa na habari na wewe.
Ukitaka nitazame TV kwa local channels siku nzima. Niwekee EATV halafu ficha kabisa remote. Sitakuwa na habari na wewe.