Kwani RADIO bado zipo kaka ?
Kwa hiyo hadi kile kipindi cha Dadaz unakiangalia.? WaaohUkitaka nisikilize Radio siku nzima. Niwekee CLOUDS FM halafu ficha remote. Wala sitahangaika kukupigia simu. Hii redio imesimama sana na vipindi vyake vina mpangilio na mtiririko usiochosha.
Ukitaka nitazame TV kwa local channels siku nzima. Niwekee EATV halafu ficha kabisa remote. Sitakuwa na habari na wewe.