My fellow men, use well resources that you have.

My fellow men, use well resources that you have.

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Inasikitisha sana mzee umefight ukakichanga kikachangika harafu unachukua mchepuko hata haueleweki!

Mtu unaingia kiwanja unapaki ndinga kali lakini huyo mchepuko unayeshuka nae ni hovyo vibaya!!

Sasa sisi wenye babywalker tuchukue mademu gani!!?

Ni ushauli tu mazee msijenge chuki
 
Wengine hufanya hivyo kutaka kujua "ladha", ikoje kwa mtu kama huyo!
 
Kazi na bata ,,hi ni weekend tujivinjari , pamoja katika bata ,,
 
Back
Top Bottom