My friend is looking for a Partner, and maybe a husband kama mambo yataenda poa

Sal

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2008
Posts
498
Reaction score
228
Wana JF naomba msinitafune, mambo ya kutumwa email nilikosea jamani
naomba muwasiliane nae kwenye delmonte198@hotmail.com
mkini PM msiwe na wasiwasi ujumbe nitaufikisha. samahani sana kama kuna walioshindwa kuwasiliana nae.

A friend of mine asked me post this for her. She's serious, so take it serious too.

Quote:
"natafuta mwanamme ambaye tunaweza kuanza maisha mapya kama mume na mke kama tutaelewana.
mimi niko kwenye mid 40s. natafuta mwanamme mwenye umri kati ya miaka 35 na 55 ambaye hana mke lakini awe na watoto na hahitaji tena mtoto maana mimi siko tayari kumpatia mtoto ila niko tayari kulea watoto wake. awe na ajira yenye kueleweka na kipato cha kati kama si cha juu. mwenye mawazo ya maendeleo ni muhimu japo tunaweza kupeana uelewa.
Unquote:
haya mlio single and serious jamani, dont let my friend down.
 
mbona wamsemea kulikoni? haya bachelors kazi kwenu
 
mimi nina kazi nzuri na nina watoto. sichagui dini wala kabila ili mradi maelewano kwangu ndio muhimu. urefu kuanzia 5" 7cm maana mimi ni 5"5cm. sichagui sura japo asitishe sana, japo mwenye personality nitampa kipaumbele. awe na roho nzuri, mwenye upendo wa kweli wa kunijali na kuniheshimu, na asiwe muongo wa mapenzi au tapeli. mimi nina upendo na sio muongo inapokuja kwenye mahusiano. naishi Dar hivyo wa Dar nitawapa kipaumbele zaidi.
Naomba mawasiliano kwenye email hapa chini aanze kwa kujieleza yeye ni nani na anafanya nini na yuko wapi, akieleza wasifu wake pia itanisaidia.
email yangu ni delamonte198@hotmail.com

Unquote:
haya mlio single and serious jamani, dont let my friend down.

Utakuwa ni wewe mwenyewe unatafuta halafu unajifanya rafki yako kwani yeye haiui Jf au kwa kuwa umeskia huku kwa ma-greant thinker ma mdogo bhana haya utampata mzee Rwaitama maana na yeye anatafuta mwenzi
 
Alafu anaonekana kadhamiria kweli, jamani wenye sifa tajwa ndege huyoooo.......kajileta mwenyewe!!
 
Namtakia kila la kheri ktk kumpata wa kula nae uzee.
 
Duh!Haya bwana mnaetaka kuoa kazi kwenu!
 
From a friend of mine who is very serious. If you are not serious dont communicate with her. Naomba mheshimu matakwa ya mtu na msilete mzaha.

Quote:
natafuta mwanamme ambaye tunaweza kuanza maisha mapya kama mume na mke kama tutaelewana.
mimi niko kwenye mid 40s. natafuta mwanamme mwenye umri kati ya miaka 35 na 55 ambaye hana mke lakini awe na watoto na hahitaji tena mtoto maana mimi siko tayari kumpatia mtoto ila niko tayari kulea watoto wake. awe na ajira yenye kueleweka na kipato cha kati kama si cha juu. mwenye mawazo ya maendeleo ni muhimu japo tunaweza kupeana uelewa.
mimi nina kazi nzuri na nina watoto. sichagui dini wala kabila ili mradi maelewano kwangu ndio muhimu. urefu kuanzia 5" 7cm maana mimi ni 5"5cm. sichagui sura japo asitishe sana, japo mwenye personality nitampa kipaumbele. awe na roho nzuri, mwenye upendo wa kweli wa kunijali na kuniheshimu, na asiwe muongo wa mapenzi au tapeli. mimi nina upendo na sio muongo inapokuja kwenye mahusiano. naishi Dar hivyo wa Dar nitawapa kipaumbele zaidi.

email yangu ni delmonte@hotmail.com
Unquote

Kazi kwenu ma single mlio serious. Please dont let my friend down kwa kumchokoza kama you are not serious.
 
to add on this nimesahamu, my friend was divorced 10 years ago. so akipata divorcee au aliyefiwa as long as yuko tayari wakapime afya zao hana problem.
 
ka ni wwe sema tu mana kuliko kuanza kuzunguuka mara oooh rafki angu,weeeee
 
Utakuwa ni wewe mwenyewe unatafuta halafu unajifanya rafki yako kwani yeye haiui Jf au kwa kuwa umeskia huku kwa ma-greant thinker ma mdogo bhana ya utampata mzee Rwaitama maana na yeye anatafuta mwenzi
Nimeshangaa umenisemea, ni yeye mwenyewe atakua.
 
Mi simo am below that.....angeshusha miaka kiduchu angeona kazi
 
sio shuga mami huyo maana yeye ni Mid 40 halafu anahitaji kuanzia 35. Partnership anayohitaji ni ya biashara au kazi gani?
 
Back
Top Bottom