My friend is looking for a Partner, and maybe a husband kama mambo yataenda poa

endelea kumuomba mungu utapata tu chaguo lako kila mwenyekusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu

amesubiri kwa 10yrs, amechoka. Anahamu sana. Ngojangoja huumiza matumbo.
 
Mwambie apunguze vigezo ili nifit.
 
Kama una nia ya kutafuta mwenzi wako utafanikiwa...
Endelea kutafuta.....
Usichoke
 

katembeza vibuti mwishowe mambo yamemchachia.. Sasa anajitangaza, by the way am 22yrs kama yupo tayari msaidie ni' PM
 
Hahitaji wanuka mikojo. tafuta vinuka mkojo wenzio

katembeza vibuti mwishowe mambo yamemchachia.. Sasa anajitangaza, by the way am 22yrs kama yupo tayari msaidie ni' PM
 
Ametoa mail adress yake, nina uhakika kabisa wenye nia wamewasiliana naye,ila hawa wanaokejeli humu ni kuwanyaukia tu wala wasimuumize kichwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…