My Girl's Pregnant

yes ni possible kwa miezi ya mwanzo,
 
Hii inaonekana kama quiz kwa ajili ya medical students. Leteni majibu.
 
I think it is very much possible...it happens to many but I dont have any scientific explanation for this may be u should visit a Gynecologist..
 
Umeuwawa mazima!
Hapo broda unashikwa masikio HIVIHIVI!
Huyo dada kama ni mjamzito, na kama hukutembea nae tena toka siku zile, basi sio mwaminifu, kuna baba-nanii mtaa wa jirani alimrekebisha tabia!
Huh!
 
ndio inawezekana kuna mmoja alipokuja kushituka kupima mimba ina miezi mitano na anapata period kama kawa..hivi ni ugonjwa au?
 
Quiz inaendelea: Usishangae mwezi ujao hiyo pregnancy test ikaja negative. Madaktari majibu plzzz.

BTW kwa nini hamtumii condom? Pregnancy test inaweza kuanza na jibu la positive lakini in 4 weeks kama tumbo halijajaa ukirudia test unaweza kupata negative. Lakini Bioline au Capillus HIV test ikishaanza na positive ni imekula kwako, itakuganda hadi kiama.

Duh! Bado kuna wasela wanamega bila ndomu. Sijamaliza kushangaa.
 
Inawezekana kabisa lakini kwa watu wachache sana na huwa ina biological explanations..Sio hali ya kawaida nashauri muone mtaalamu wa magonjwa ya wanawake akupe sababu nzuri zaidi..
 
umesema 'girfriend wangu' it is time for you to upgrade the system to 'my wife'. umepatikana
 
Umeuwawa mazima!
Hapo broda unashikwa masikio HIVIHIVI!
Huyo dada kama ni mjamzito, na kama hukutembea nae tena toka siku zile, basi sio mwaminifu, kuna baba-nanii mtaa wa jirani alimrekebisha tabia!
Huh!


Kaka hujasoma kuleeee kuwa wanaume wanakufaga!

Unataka sasa na kijana wa watu ajifie!

Mpe ushauri sio kumtisha namna hii
 

Duh umetoa neno.!
 
Nimekumbuka maneno ya babu yangu aliponiasa wakati napanga kuweka kitu ndani rasmi:

Mjukuu wangu ogopa kitu kimoja:
Usikubali mwanamke akupepete kama mchele, ukifikia hatua hiyo ujue utauziwa mbuzi kibudu kwenye kiroba!

Hapa natazama mtazamo wa mtu kuuziwa MBUZI KIBUDU KWENYE KIROBA! STUKAAA!!!!!!!
 

Lakini wakati mna do bila kinga hukuweka possibility walau ya 10 %?
 
Unashangaa nini kama wao ndio wameanzana? huoni hata maswali yenyewe?

Inawezekana kweli mkuu, kuwa hawa jamaa bado ni manjuka kwenye game, sasa hiyo ni hatari zaidi. Maana hata yule wa pili kumega huwa anajidhania ni wa kwanza, alimradi tu hamjui huyo aliyeanza.
 
Mnamo Tarehe 1 hadi 3 mwezi wa 4 2010 nilikuwa na my girlfrind wangu..
after one week akawa nahisi kuwa anaweza kuwa pregnant,ilipofika tarehe 23/3/2010 akapata period yake..l

Something is spinning in my head....kwamba alipata hedhi tarehe 23/3/'10 halafu mkakutana 1 hadi 3/04/'10 au kinyume chake?
 

....hii inaenda kinyumenyume....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…