Watu bwana inaonekana wamechoka na Dowans. Sasa wanataka kumpumzika. Mimi nakumbuka stori ya mzee mmoja aliyekuwa analia wakati wa 'chorus'. Sasa wakati fulani walilazimika kulala msibani na mke wake. Usiku mzee kama kawaida yake, akaanza kumwomba mchezo mkewe. Mke kusikia hivyo, akamweleza mzee kwamba hatathubutu kumpatia kwa sababu wataaibika wakati wa chorus kutokana na kelele zake za kulia. Mzee alibembeleza kwa muda mrefu sana mpaka hatiamaye mkewe akaamua kumpatia. Mzee alifurahi sana na kumuahidi mkewe kutopiga kelele hata kidogo. Mchezo ulipoanza mzee akaanza kunong'ona eti unaona mama nanii si nilikwambia leo silii hata kidogo. Aliendelea na tambo zake hizo huku akiendelea kupampu na mke akiendelea kumkatia mauno. Kadri libeneke lilivyozidi kusonga mbele, ndivyo maneno ya 'unaona mke wangu leo silii kabisa' yalivyokuwa yakisikika zaidi. Alipokaribia mwisho, mzee alitoa sauti kali zaidi na kulia mamaaaaa weeeeeeeee!! Watu waliokuwepo msibani walikurupuka na kuanza kujiuliza kulikoni. Mkewe alijitetea kwamba mzee ana tabia ya kuota ndoto mbaya. Mambo hayo!